0

 Image result for daniel sturridgeKlabu ya Inter Milan inayoshirki ligi ya Italia maarufu kama Serie A imetoa ada kubwa lakini isiyojulikana ya mkopo kwa mshambuliaji wa Liverpool Daniel SturridgeMchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambaye ni Raia wa England amefanikiwa kuitumikia klbu yake ya Liverpool kwa mara tano tuu tangia msimu huu huanze na amepata kadi nyekundu mara moja.klabu hiyo inayoshiliki ligi ya serie A bado ipo kwenye mazungumzo na mchezaji huyo na mchezaji huyo uhamisho wake unatalajiwa kufanyika mwishoni nmwa msimu .huu

Post a Comment

 
Top