0

 https://ichef.bbci.co.uk/onesport/cps/480/cpsprodpb/12779/production/_99614657_gettyimages-879017714.jpgHakuna makubaliano ambayo Manchester United inaendelea mbele ya Henrikh Mkhitaryan kujiunga na Arsenal badala ya Alexis Sanchez,kutaka kwenda kwenye klabu hiyo.inaeleweka Sanchez amekubali masharti ya kibinafsi na United.lakini kitu hicho haki fanyi kuhalibu mktaba wa Henrikh mkhitaryan kwenda kwenye klabu ya Arsenal.pia inaelezwa kuwa Borrusia dortmund wanataka kumasaini tena kiungo huyo.lakini baaada ya mchezaji huyo kuulizwa juu  ya kujiunga na klabu ya chelasea alikataa na kusema kuwa azani na wala afikirii kwenda kwenye klabu hiyo.

Post a Comment

 
Top