
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dokta HERRIISONI
MWAKYEMBE ametoa wito kwa miliki wa vyombo vya mawasiliano kutoa elimu kwa watumiaji kuhusu huduma wanayo tumia ili kusadia
mtumiaji kuelewa huduma anayo hitaji.
Waziri MWAKYEMBE ameyasema hayo leo
jijini Dar es salaam wakati wa Uzinduzi wa kitabu cha mwongozo kwa watumiaji wa huduma na
bidhaa za mawasiliano nchini amesema kuwa usimamizi wa kanuni za utangazji sio kuingilia uhuru wa vyombo vya habari ikiwa lengo kulinda kanuni za utangazji ili kuimalisha taaswila ya chombo cha habari au mtangazi husika..
Pia Dokt MWAKYEMBE ametoa wito kwa waandishi wa habari
kuzingatia sheria za kisekta na maadili
kanuni ya usimaizi na maadhui ya uandish wa habari ili kuhakikisha kwamba
habari zinazo tolewa ziwe zimekidhi utamaduni wetu.
amesema
kuwa usimamizi wa kanuni za utangazji sio kuingilia uhuru wa vyombo vya habari
ikiwa lengo kulinda kanuni za utangazji ili kuimalisha taaswila ya chombo cha
habari au mtangazi husika.
Aidha nae Naibu
waziri wa Ujenzi, uchukuzi, na
mawasiliano Eng. ATASHASTA NDIKIYE ameishukuru mamlaka ya nawasiliano Tanzania (TCRA) kwa jitihada wanazofanya zakupunguza galama za watumiaji wa simu za mkononi hadi kufikia shilingi 15.6 kwa dakika kupiga mitandao yote ikiwa awali ilikua shulingi 34.9 kwa kipindi cha nyuma.
Post a Comment