Mwanasiasa wa siku nyingi nchini
Urusi Boris Johnson amesema anakubaliana na kauli ya Rais wa Urusi
Vladimir Putin kuwa ataitumia michuano ya kombe la Dunia kuifanya
Urusi kuwa nchi ya amani kama alivyowahi kuitumia rais wa Ujerumani
Aldolf Hitler michuano ya Olimpiki ya mwaka 1936 katika masuala ya
amani.
Johnson amesema kuwa kutakuwa na mazungumzo ya haraka
dhidi ya Urusi kuhusu usalama wa mashabiki katika mashindano hayo
yajayo, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya urusi amesema wanaurusi
wameathitika na chuki iliyodumu kwa muda mrefu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment