
Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Abdallah Bulembo (kushoto) akikabidhi nyaraka zenye orodha ya mali za Jumuiya hiyo kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo, Dk. Edmund Mndolwa, leo Januari 2, 2018, Makao Makuu ya Jumuiya jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Zanzibar Abdallah Haj Haidar.
Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi CCM Taifa Bw.ABDALLAH BULEMBO leo amemkabidhi ofisi mweyekiti mpya wa jumuiya hiyo DKT.EDMUND MNDOLWA ambaye kwa sasa atashika nyazifa hiyo pia akisahidiwa na makamu wake Bw.HAIDAR HAJI ABDALLAH.
DKT.MDOLWA ambaye ndiye aliyekuwa mjumbe halmashauri kuu ya
taifa CCM(MNEC),mwemyekiti wazazi mkoa wa Tanga , mjumbe kamati ya utekelezaji
wazazi CCM Taifa na sasa ndiye mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM Taifa.
Makabazianao hayo yamefanyika leo katika ofisi za makao
makuu ya jumuiya hiyo zilizopo mtaa wa Swahili KARIAKOU Jijini DAR ES SALAAM na
kuuziliwa na baadhi ya makatibu wakuu kutoka jumuiya hiyo taifa.
Hivyo basi baada ya makabiziano hayo mwenyekiti mpya wa
jumuiya hiyo DKT.EDMUND MNDOLWA ametoa pongezi kwa mwenyekiti msaafu bw.BULEMBO
nakusema kuwa alikua mtendaji kazi mzuli hivyo nae pia atafuata nyao zake ili
kukifanya chama hicho kizidi kusonga mbele na kushinda uchaguzi wa mwaka kesho
kutwa (2020)
Pia DKT.MNDOLWA amevieleza vyama vya upinzani kuwa chama cha
mapinduzi kimejipanga hivyo wapinzani wajitaalishe kufungusha vilago katika
majimbo walichukua kwani mwaka 2020 chama hicho kitayachukua majimbo hayo.
Aidha amesema kuwa jumuiya hiyo itaendelea kujitegemea
yenyewe pasipo kuomba misaada kwani niya ya jumuiya hiyo nikukisahidia chama
cha mapindunzi kusonga mbele na hata kwenda na kasi ya uchumi wa kati.
Post a Comment