
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,leo amezungumza na mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumza na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuchukua nafasi hiyo kwa aliye kuwa mwenyekiti mstaafu wa baraza Bw.ABDALLAH BULEMBO ambapo ataliongoza baraza hilo kwa miaka mitano.
Post a Comment