
Mashabiki wa Manchester United, sasa wana uhakika wa kumnasa Alexis Sanchez.Uhakika huo umewafanya mashabiki hao wamkaribishe wakiwa na vipeperushi.
Katika
Uwanja wa Old Trafford mashabiki hao wameonekana wenye furaha
wakijivunia ujio wa mchezaji huyo akitokea Arsenal ambaye anatarajiwa
kutangazwa ndani ya saa 24.
Post a Comment