0



 https://i2.wp.com/soka360.co.tz/wp-content/uploads/John-Bocco.jpg?fit=1200%2C800&resize=350%2C200
 klabu ya simba imeibuka na ushindi wa goli 2_0 dhidi ya kagera Sugar katika uwanja wa kaitaba Mjini mwanza  kupitia kiungo wao maili saidi hamisi ndemla pamoja na streka wao matata kabisa John raphel Bocco kupitia klosi nzuri kutoka kwa shomari kapombe hivyo kwa ushindi huo unaifanya klabu hiyo kuendelea kuwa kileleni kwa sasa.

Post a Comment

 
Top