0

 
 
 VijananchiniwametakiwakupewaelimuZaidijuuyauwekezajiiliwawezekupatauelewawakujuaninjiazipiwanawezawakazitumiakatikakuwekezanawakafanikiwakatikamaishayao.
HayoyamesemwanakatibumkuuofisiyamakauwaRaisiProf.FAUSTINE KAMUZORA alipokuwaakizungumzakatikahaflayasikumojayauzinduziwamtandaowamitajiyaubia(TVCN) iliyofanyikaJijini DAR ES SALAAM nakuandaliwanamakampunimbalimbalibinafsiyaliyokohapanchinipamojanataasisiyasektabinfsi Tanzania(TPSF).
Amesemakuwavijanawenginiwabunifukatikasektayafedhahivyonivyemawakapatiwamitajipamojanaelimuyakutoshayakujuaninamnaganiwanawezawakawekezapiaameelezakuwakumekuwanamakampunimengipamojanataasisimbalimbaliambazozimekuwanauchachewamitajihivyonivyemazikajiungakatikamtandaowamitajiyaubai(TVCN) kwaniutwasaidikapatamitajiitakayokuwanamanufaakwakampuninataasisizao.
Aidhanaemwenyekitiwataasisiyasektabinafsi Tanzania(TPSF) Dr.REGINALD MENGI ametoawitokwavijanakuhamasikakujifunzakuhusuuwekezajikwaniunafaidakubwasanakwamaendeleoyaobinafsinahatayataifakiujumlakwaniTaifalinawategemeasanavijanakatikakuletamendeleohivyonivyemawakaendeleakuwekabidiikatikakazinakuoneshawananiayakufanyakazi.


Post a Comment

 
Top