
Na.Martin Joseph
Wanawake nchini wametakiwakutambuakuwaElimu,kujiamininakuthubutunijambo la msingiambalolinawezakuwaondoakatikawimbi la umaskininahatakuepukananamanyanyasonakuepeleakupatahakizaozamsingiambazowanastahilikuzipata.
HayoyamesemwanaSpikawabungemstaafuBi.ANNE
MAKINDA alipokuwaakizungumzanawaandishiwahabarikatikakongamanomaalumu la
kuazimishasikuyawanawakedunianilililoandaliwanataasisiisiyoyakiserikaliinayojishugulishanamaswalayasayansilililofanyikaJijini
DAR ES SALAAM.
Amsemakuwawanawakewengiwamekuwawakikosahakizaozamsinginakunyanyapiliwakutokananakukosaelimuhivyohalihiyoimekuwaikepelekeakushindwakujuaniwapiwanawezakupatamsaadaambaoungewezakuwatatuliachangamotombalimbaliwanazokumbananazonahatawakatimwinginematatizohayoyamekuwayakiwapelekeakupatavifoambavyosiovyakutalajiakutokananakushindwakujiamininahatakuthubutujambololoteambalolingewasaidiakuwakomboanachangamotozinazowakabili.
Kwa upande mwingine naeWaziriwaElimu,Sayansi,TeknolojianaUfundiProf.JOYCE
NDALICHAKOametoa wito kwawanawakewotehapanchinikufanyakazikwabidiiilimchangowaokatikakuletamaendeleondaniyajamiiuzidikuonekananahatakuwafanyawazidikuaminika
Zaidi nahatakupewa
Zaidi fursambalimbalikatikajamii.
Aidhaameipongezaserikalikwakutoavipaumbelevingikwawanawakeikiwemoelimupamojanaajirakwanivimekuwavikiwasaidiwanawakekupatamaendeleomakubwanahatakuondokananautegemezikutokakwawatumbalimablihasahasawanaume.
Post a Comment