0






 






 Kampuni inayo jishugulisha na uuzalishaji na usambazaji  wa mbolea hapa nchini  YARA LIMITED imahamu kuiunga mkono serikali katika kufanikisha  zoezi la uchumi wa viwanda linatimia kwaku  toa punguzo la bei  kwa mbolea wanazozalisha za YALA MILA OTESHA kwa lengo la kuwasaidia   wakulima  kuzalisha mazoa yakayokuwa bora na yenyetija kwa maendeleo yao na hata ya Taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini DAR ES SALAAM afisa masoko wa kampuni hiyo  Bi.LINDA BYABA amesema kuwa kampuni hiyo imeamu kutoa punguzo la bei hiyo kutokana asilimia ya wakulima wengi ni wale wenyekipato cha chini hivyo hali  imekuwa ikwafanya kukosa mbole hiyo kwani awali ilikuwa na kiwango kikubwa cha bei.

Hivyo basi kwakulitambua hilo wamehamu kuwapunguzi bei wakulima kwa asilmia 50 kutoka katika bei ile ya awali ili kufanya mbole hiyo iweze kununuliwa na wakulima ili iweze kuwasaidi kuvuna mazao mengi na yenye ubora unotakiwa kwa kuliwa na hata katika mauzo pia.

 Pia ameeleza kuwa mbole hiyo inatumika katika  kuotesha na kukuza mazao  mbali mbali ikwemo mpunga,Mahindi na mbongamboga  na imewasaidia wakulima wengi ambao waliku wakiitumia mbolea hiyo kwani wamepata mazao mengi tofauti na hapo awali walipokuwa wakkitumia mbolea nyingine tofauti na hiyo.

Hivyo basi ni vyema wananchi hao wakaendelea kuitumia mbolea na wale wasio itumia ni vyema wakaanza sasa ili iweze kuwapatia mazao  yakayo kuwa bora na ambayo yawasaidi kuwaingizi kipato kikubwa pindi watakapo yaingiza sokoni


Post a Comment

 
Top