
Na.Chanzo cha Habari
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.JOHN POMBE MAGUFULI leo ameondoka nchini kuelekea nchini Uganda kwa lengo la kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.
Imeelezwa kuwa mkutano huo utafanyika kwa takribani siku mbili katika Jiji la kampla nchi Uganda.
Post a Comment