
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amefungua rasmi Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) uliofanyika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mjini Dodoma.
Mkutano huo uliouzuliwa na wajumbe mbalimbali wa shirikisho hilo unatalijiwa kufanyika siku mbili katika mkoa huo.
Post a Comment